SOMO LA LEO 26/10/2014: SIKU YA UOVU_MCHUNGAJI KIONGOZI PAUL JOSHUA. TO DAY’S LESSON 26 /10/ 2014: THE DAY FOR EVILS (EVIL’S DAY) PASTOR PAUL JOSHUA



SOMO LA LEO 26/10/2014: SIKU YA UOVU_MCHUNGAJI KIONGOZI PAUL JOSHUA 

Waefeso 6:10-13
Paulo anatahadharisha kwamba tuzidi kuwa hodari. Na hodari ni kuwa na bidii juu kitu/jambo fulani.
Siku ya uovu nisiku ambayo maadui wako wote wanainuka, siku ambayo magonjwa yankuandama, siku ambayo mabaya yote yanakuinukia.
Esta 3:12-14
Kumbe kuna watu hukaa kikao kuandaa siku ya uovu.
Mithali 24:11
Kuna watu wanaandaa matukio na kunuiza tarehe au siku  Fulani mtu Fulani apate ajari au magonwa au tatizo lolote maishani mwake.
Luka 19:41-  Yesu aliililia Yerusalem, kwakuwa aliiona siku ya uovu yaja juu yao, na wao hawakujua km ipo siku watazungushiwa boma.
Hujui nini kinakuja mbele ndio maana una amani, huna wasiwasi lakini laiti ungejua ya kuwa siku yaja ambapo utaomboleza na kulia. Kuna watu leo wanaomboleza na kusema nilikuwa na amani ktk ndoa yangu, nilikuwa na amani ktk maisha yangu lkn sasa wanahangaika kwakuwa shetani aliwapa amani ya muda ili waridhike awaangamize vizuri, kwakuwa yalifichwa machoni pao.. LEO TUNAKATAA AMANI YA MUDA KTK MAISHA  YETU,BIASHARE ZETU………
Mungu anatutaka tupambane siku ya uovu wetu, siku ambayoadui zetu wanapanga kutuangusha chini na kutuangamiza.
Kuna siku ambayo imeandaliwa kukuliza ktk maisha yako. Utaona mtu anatembea lkn ameandaliwa kutolewa kafara, na mwingine anatembea kumbe kawekewa pepo la kumuua na siku ikifika anakufa, shetani anaweka pepo la ugonjwa, ama tb, ukimwi, kansa ambalo  linasubili siku likuue.
Yesu alipokufa watu waliinuka, kifo cha Yesu kilikuwa ukombozi ktk maisha. Hakuna mtu anayefanikiwa bila kafara. Watu wanatoa kafara kusababisha siku za uovu maishani mwa watu. Na Yesu alifanyika  sadaka kuvunja siku za uovu zilizoandaliwa maishani mwetu.



TO DAY’S LESSON 26 /10/ 2014: THE DAY FOR EVILS (EVIL’S DAY) PASTOR PAUL JOSHUA

EPHESIANS 6:10-13
Paul is making us aware that we have to be heroes/heroine. To be heroine/ heroes is to struggle or work hard on something.
Evil’s day is the day which all your enemies rise. The day which diseases follow you, the day that all difficulties rise,  
Ester 3:12-13
There are people who seats for a meeting in order to  preparing the day for evils,
Proverb 24:11
There are people who are organizing occasions on a certain date/ day that a certain person should get an accident or disease.
Luke 19:41- Jesus cried for Jerusalem, he saw the evil’s day is coming on them, and they were not aware that there  is a day they will be surrounded by evils.
You don’t know what is coming before you, that is why you have peace! You have no worry but if you could know that there is coming day that you will cry, you could watch. There are people who are crying today that I had peace on my marriage, I had peace on my life but now  he/ she is suffering because satan gave him/her the peace of short time which encouraged him/ her and get satisfied so that satan could destroy him/her easily. As she / he was blinded. TO DAY WE IGNORE THE PEACE OF THE SHORT TIME IN OUR LIFE, IN OUR BUSINESS….
God wants us to fight on the day of our evils. The day which our enemies plan to make us fall down and destroy us.
There is a day which is prepared to make you cry in your life. You could see a person walking but he/she is prepared  to be a sacrifice, others are walking but they have demon which cause death, and when the day reaches they die, satan puts the demon for disease, can be a demon for TB, for AIDS, for cancer  which is waiting for the day to come to kill you.
When Jesus died people were risen up, the death of Jesus brought salvation in our life. No one who succeed in life without sacrifice. People give sacrifice to cause evils in people’s life. Jesus was made sacrifice to destroy the planned evil’s day in our life.