Anaitwa Siwema (kushoto), mtoto ambae alikuja hawezi kabisa hatakutembea. Ilikuwa tarehe 27.11.2017 usiku, Siwema alianza kuona kisu kinamchoma kwenye moyo ndipo alianza kulia na kumwambia mama yake (kulia) wananiua! Palepale akapoteza fahamu. Mama mzazi wa mtoto huyu alimbeba na kumleta kanisani Ufufuo na Uzima-Kigoma, akafanyiwa maombi na sasa ni mzima kabisa. Utukufu kwa Yesu.
Ayubu 29:4; Kama nilivyokuwa katika siku zangu za kukomaa, hapo siri ya Mungu ilipokuwa hemani mwangu, Ayubu 29:11-12;maana sikio liliponisikia ndipo liliponibarikia, na jicho liliponiona lilinishuhudia, Kwa sababu nalimwokoa masikini aliyenililia, Yatima naye,na yule asiyekuwa na mtu wa kumsaidia.
UFUFUO NA UZIMA KIGOMA_SNP Paul Joshua
Ahaa! Kumbe kuna wengine ndani yao kuna kiti cha enzi cha shetani!
Nimeligundua hili muda baba mchungaji kiongozi Paul Joshua alipoanza kufundisha somo "KITI CHA ENZI CHA UKOO"; dada huyu aliruka juu kutoka kwenye kiti ambacho alikuwa amekalia kanisani na kumfuata mchungaji madhabahuni, baada ya kuombewa ilijulikana nani alikuwa amekalia kiti chake cha enzi.
Watu wakifunguliwa kutoka katika VIFUNGO VYA ROHONI
"ALIYEMEZA"_MP MORIS
Ayubu 20:15 “Amemeza mali, naya atayatapika tena
Mungu atayatoa tumboni mwake”.
Moto umewaka, tumbo la kuzimu linashindwa kuvumilia maumivu, nalo nianawatapika watu wa Mungu kwenye uzima wao.
"SAUTI YA BARAGUMU"
Sauti inayotangaza watu kufunguliwa na kuwa huru kutoka kwenye vifungo vya ibilisi_RP MKAMA
17 May, 2015
KUVUNJA NA KUKATAA MAGONJWA YANAYOTOKEA KWA WAKATI MAALUMU: RP MKAMA_UFUFUO NA UZIMA KIGOMA
TUMEINUKA TENA!!!!
Kiza Egon akimtukuza Mungu Bwana wa Majeshi na wimbo usemao TUMEINUKA TUMEINUKA TENA!!!
NYOKA WA KICHAWI APONDWA KICHWA LEO NA MAJESHI YA UFUFUO NAUZIMA KIGOMA KATIKA IBADA.
Ni shangwe na nderemo baada ya kumponda kichwa yule nyoka wa kicchawi aliyemeza maisha ya watu. Ufufuo na Uzima Kigoma.
PLATFORM UFUFUO NA UZIMA KIGOMA
Watu wamefunguliwa kupita kawaida baada ya baba yetu Mchungaji kiongozi Paul Joshua Kufundisha habari ya Kuvuka ng'ambo.
Hivyo watu wengi wamejikuta kuwa wanamlango wa kufaa lakini wapo wengi waupingao, leo tumevuka kwa jina la Yesu Bwana wa majeshi.
MCHUNGAJI KIONGOZI SNP PAUL JOSHUA AKIWA KATIKA MSAKO MKALI KUWASAKA WALE WOTE AMBAO HATUA ZAO ZIMEFUNGWA, KISHA KUZIKATA KABISA. UFUFUO NA UZIMA KIGOMA.
we honor,we adore, we worship you Lord HALELUYA
mapokezi ya Mch. Josephat Gwajima katika mji wa Kigoma
MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YOTE YA UFUFUO NA UZIMA DUNIANI, ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AKIWA KATIKA MJI WA KIGOMA KWAAJILI YA SEMINA YA NENO LA MUNGU KATIKA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KIGOMA.
Mchungaji kiongozi Paul Joshua akifundisha somo:ROHO YA KUKATALIWA katika nyumba ya Ufufuo na Uzima Kigoma, leo jumapili 31.08.2014
MCHUNGAJI KIONGOZI PAUL JOSHUA, AKIWA NA BAADHI YA WAZEE WALIOFIKA KATIKA SHEREHE YA REMEMBER THE POOR SIKU YA JUMAMOSI 19.04.2014 KATIKA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KIGOMA.
SHEREHE YA WAJANE, WATIMA, WAZEE NA WASIOJIWEZA
[UFUFUO NA UZIMA KIGOMA TANZANIA]
MZEE RASHIDI NA MZEE OMARY WAKIPOKEA ZAWADI SIKU YA SHEREHE YA YATIMA, WAJANE, WAZEE NA WASIOJIWEZA KWAAJILI YA PASAKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI KIONGOZI PAUL JOSHUA, UFUFUO NA UZIMA KIGOMA.
MZEE OMARY AKITOA BARAKA KWA KANISA BAADA YA KUPOKEA ZAWADI YA PASAKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI KIONGOZI PAUL JOSHUA,UFUFUO NA UZIMA KIGOMA.
MZEE RASHID AKITOA BARAKA ZAKE KWA MCHUNGAJI KIONGOZI PAUL JOSHUA BAADA YA KUPOKEA ZAWADI YA PASKA, UFUFUO NA UZIMA KIGOMA.
BAADHI YA WATOTO YATIMA WAKILA NA KUNYWA KATIKA SHEREHE YA YATIMA, WAJANE NA WASIOJIWEZA [UFUFUO NA UZIMA KIGOMA]
MCHUNGAJI KIONGOZI PAUL JOSHUA AKIWAPELEKEA YATIMA CHAKULA
MCHUNGAJI KIONGZI PAUL JOSHUA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KIGOMA, AKILA CHAKULA PAMOJA NA YATIMA.
SNP PAUL JOSHUA AKIWAHUDUMIA YATIMA VINYWAJI KATIKA SHEREHE YA YATIMA NA WAJANE UFUFUO NA UZIMA KIGOMA.
Mchungaji kiongozi Paul Joshua akiwa na Askofu Sadoki;
Wameshikana mikono baada ya Askofu Sadoki kutangaza rasmi kuwa sasa ni mshirika wa kanisa la Ufufuo na Uzima na ameahidi kuwa atamtumikia Mungu katika nyakati zote "wakati unaofaa na usiofaa".
REMEMBER THE POOR
Ilikuwa siku ya kukumbukwa kufufuka kwake Yesu Kristo{PASAKA}
SNP
Paul Joshua akishirikiana na Ministry ya Remember the Poor pamoja na
waumini wote wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Kigoma iliandaliwa sherehe
kubwa ya kula chakula pamoja na maskini, wasiojiweza, vilema, wajane na
yatima
Hawa ni baadhi ya wazee maskini, vilema, yatima na wajane wakila pamoja na waumini wa Glory of Christ Tanzania Church {Ufufuo na Uzima Kigoma}
KANNISA LA UFUFUO NA UZIMA KIGOMA LILIVYOANZISHWA MWAKA 2007
"ULIANZA KWA HUZUNI UTAMALIZA KWA HESHIMA KUBWA KULIKO NDUGU ZAKO"
KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KIGOMA LILIVYO SASA MWAKA 2013
"MUNGU NI MUNGU WA HATUA KWA HATUA"
Mchungaji kiongozi wa kanisa la ufufuo na Uzima Kigoma akimkabidhi godoro mzee Omary mwenye umri wa miaka 90 {Luka 6:38}
Mchungaji kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Kigoma akimkabidhi zawadi ya Pasaka mzee Rashid
Yamungu "mlemavu wa miguu" akipokea zawadi ya Pasaka katika kanisa la Ufufuo na Uzima Kigoma
Mchungaji kiongozi akimkabidhi Mama Idrisa vifaa vya shule vya wajukuu zake ambao ni yatima
Mchungaji kiongozi Paul Joshua wa kanisa la Ufufuo na Uzima Kigoma akiwakaribisha walemavu, yatima, wajane na wasiojiweza kwenye chakula cha mchana siku ya Pasaka
Wajane na walemavu wakila chakula cha mchana siku ya Pasaka
SNP Paul Joshua wa kanisa la Ufufuo na Uzima Kigoma akiwahudumia vinywaji na chakula wajane na maskini
SNP Paul Joshua akila pamoja na watoto yatima
SNP:PAUL JOSHUA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA MASANGA KIGOMA TANZANIA; AKIWA NA MAMA IDIRISA {MLEMAVU} SIKU YA "REMEMBER THE POOR" KANISANI UFUFUO NA UZIMA KIGOMA JUMAPILI YA TAREHE 2.06.2013
SNP:Paul Joshua wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Kigoma akiwa na MP: Happyness wa remember the poor wakitoa misaada kwa Yamingu "mlemavu wa miguu" akiwa na mke wake Mrs. Yamungu siku ya jumapili 2/06/2013
SNP: PAUL JOSHUA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA MASANGA KIGOMA AKIWA NA WAZEE WAWILI TAYARI KABISA KWA KUWAKABIDHI MISAADA AMBYO HUTOLEWA KILA MWISHO WA MWEZI KWAAJILI YA KUWASAIDIA YATIMA, WAJANE NA WASIOJIWEZA
WUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KGOMA WAKIABUDU PAMOJA
Kushoto RP Esta Paul, Katikati RP Evarist Mkama, mwisho RP Janeth Gwajima wakifuatilia kwa makini ibada ya juma pili kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima Kigoma