KATIKA NYUMBA YA UFUFUO NA UZIMA,LEO TUMETEMBELEWA NA MGENI MWL DAMIANI NA KUFUNDISHA
SOMO LA
LEO_2/11/2014: UKIKUBALI NA KUTII UTAKULA MEMA YA NCHI_MWL DAMIANI
Ukikubali na kutii utakula mema ya nchi lkn ukikataa utakufa
kwa upanga.
Mema ya nchi ni Baraka ,neema, mafanikio na upanga ni magonjwa, laana,balaa,mikosi,
uchumi kudidimia nk.
Tunaangalia katika eneo la utoaji, watu wengi wamepigwa kwa
upanga kwakuwa hawakubali wala hawatii neno la bwana hasa katika eneo la utoaji.
Ktk kanisa tunamichango na sadaka za aina nyingi na
zimeanzishwa na Mungu mwenyewe lkn kuna hii ambayo inajullikana zaidi.
1.
Sadaka: hii ni ile ambayo mkristo anatoa kwa
siri ila ambapo Mungu peke yake anaona, naunapotoa sadaka yako toa sadaka
mwambie Mungu uanahitaji nini akufanyie juu ya sadaka hiyo, usitoe sadaka kama
unaitupa. Ingawa baba (Mungu) ni wajibu
lake lkn anataka asikie tukiomba. Sadaka nzuri ni ile inayoandaliwa.mt. 6:2-4
2.
Changizo, hii ni sadaka ambayo watu wakubaliana
kutoa sadaka juu ya kitu Fulani, (harambee) inawezekana ikawa ni kwaajili ya
kusaidia Fungu la kumi-zaka. Hii ni sadaka ambayo inatolewa. Km ni mfanyakazi
unatakiwa kutoa zaka kabla ya makato yote, na kama hutoa baada ya makato yote. Kwa
wafanya biashara. Unatakiwa kutoa zaka, hupaswi kutoa sdaka kwaajili ya kitu
maalum labda kulipia nyumba,matibabu, na km ukipewa mtaji hupaswi kuulipia zaka
ila ulkianza kupata faida unapaswa kutoa fungu la kumi. Kukmu 14 -22 Musa
anasema tunatakiwa kutoa zaka.
3.
Mavuno 2 kor 9:6-10, watu hawatoi mavuno,
umevuna afya, umevuna elimu, lkn hutoi sadaka ya mavuno. Kuna watu hawali
sukari,chumvi, lkn wewe unakula kila kitu hivo umpe mavuno ya afya lkn hutoi
mavo.
4.
Shukrani ni sadaka ambayo mkristo anatakiwa
aitoe kwaajili ya mema aliyokutendea Mungu, umepata mme, umepata nyumba. Wakristo hawatoi shukrani.kanisa la
leo ili lisonge mbele lazima liwekeze kwa Mungu. Taifa halitaondokana na
umaskini km hatujawekeza kwa Mungu wenyewe.ili ubarikiwe unatakiwa uombe vizuri na usiombe kwa
hila.tusiombe Baraka za Mungu kwa hila kwani hatutapata hata tutoe gunia la
hela
1)
KWA NINI
WAKINA MAMA WANAONGOZA KULIPUKA MAPEPE KILIKO WANAUMME
kuna sababu zinazosababisha wamama
kuongoza kwa mapepo ambazo ni:-
1.
Moyo wakutokusamehe, wanawake hawana moyo wa kusamehe.
Wanasema wamesamehe lkn wanayatunza moyoni tabia ya Mungu ni kusamehe na
kusahau, lkn wao hawasahau.
2.
Kupelekana kwa waganga. Hakuna mwanawake
wanatabia yakupelekana kwa waganga, aliyepelekwa kwa waganga na mpelekaji lzm
warudi na mapepo.
3.
Matumizi ya mara kwa mara ya manukato makali. Pepo
wanapenda manukato, km unapenda manukato yatakase kwa damu ya Yesu ili hata
pepo akija akinusa ananusa damu ya Yesu nao hawatakusogelea.
4.
Michoro ya piko na hina. Km mwanamke unapenda
hina na piko itakase kwanza kwa damu ya yesu. Wanamama wanamapepo kwa sababu
wanamichoro mingi kwenye miili yao
inayovutia mapepo.
5.
Matumizi ya kucha,nyusi , kope za bandia.
6.
Kupenda sana kupokeapokea sana zawadi. Km hiyo zawadi kasha ipiga mapepo akisha kupa
ukipokea unapokea na mapepo.
7.
Kutengeneza chachandu(shanga) zawadi inatakiwa
ziombewe kwani kuna zawadi zingine zinawekewa mapepo.
8.
Kujipamba kwa dhahabu, kwasababu shetani
kamiliki dhahabu na kuzifanya zake, wachimba majini ili wapate dhahabu huenda
kwa waganga ili wapate. Ukinunua kufu wa dhahabu inabiudi uvitakase.
9.
Kuvaa rasta au wigi. Kuna aina tatu za wigi na
rasta, kuna wigi za katani, za katani na
nywele za watu na kuna za nywele za marehemu.
10.
Baadhi ya Madera na na mavazi. Kuna mavazi ya
mepambwa kwa nyoka, mende,
11.
Kueleza majina ya mama yako kwa haraka.
12.
Kutumia saluni moja kila mara. Kwani adui zako
wanaweza kupeleleza saluni gani unaenda ili
achukue nywele zako iliakumalize
13.
Kuishi vibaya na wafanyakazi na wafanya kazi wa
ndani. Kwani anaweza kutumiwa na watu kukumaliza.
14.
Mahusiano ya kimapenzi na waislamu.
15.
Tuepuke kununua ktk mapepo yanayowashwa udi. Na kwakuwa
wanawake wengi wanahemea hivyo hupatwa
na mapepo . kutumia mapepo.
16.
Kunywa kombe, kombe ni maji yanayochanganywa na
wino wa…… na maji yale yanakuwa yamaiti
17.
Tuache kuvaa vikuku.majini yote yanavaa vikuku
2)
CHANGAMOTO YA NDOA MSETO
Watu wanawaruhusu watoto wao na ndugu zao
kusilimisha. Paul akasema kitu gani kitakutenga na upendo wa Yesu kristo. Inakuwaje
wewe unauacha upendo wa Yesu kwa mchumba?
Ndoa ya kikristo ni ndoa ya mke na mme
mmoja.kuolewa na mwislamu. Mke anafukuza mapepo na mme anayaita yaje. Nini kitatokea!