Ilikuwa jana majira ya saa kumi jioni katika kanisa
la Ufufuo na Uzima -Kigoma, lilitokea tukio ambalo liliwashangaza watu ambao
mpaka sasa hawaani uchawa (wakimaanisha hakuna uchawi)
Mama mmoja “Mariam”
alinaswa na nguvu za Mungu kanisani Ufufuo na Uzima akiwa na
vifaa/vitendea kazi katika kazi zake za kichawi.
Akutwa akiwa na kucha za watu, vipande vya sabuni
vilivyotumika, nguo ya mtoto mchanga, kisu, sindano, nyembe tisa, kitovu cha
mtoto pamoja navitu vingine vingi ambavyo sikuweza kuvitambua angalau
hata kwa jina.