Somo la leo_12.10.2014_Mchungaji Paul Joshua: AKILI ILIYO FUNGWA.
Utangulizi; akili ni neema/kitu au ujuzi ambao Mungu humpa mtu ili iweze kumsaidia katika maisha yake.
Wagalatia 3:1
kila mtu unayemuona, anakitu/neema ambayo Mungu kampa ili imsaidie baadae katika maisha yake. Kila mtu anaakili.
Danieli 1:19-20; Danieli alikuwa na akili kuliko waganga na wasoma nyota wote hata ikawa kila ndoto ambayo mfalme aliota, alimpelekea Daniel ili aweze kumfafanulia.
Kutoka 35:35
Kuna akili za kichwani na akili za moyoni . Nibora mtu akufunge mkono au mguu kuliko mtu akufunge kichwa.
Akili ndo maisha.
Kumbe akili inaweza kufungwa;- Waefeso 4:18
Kuna uwezekano wa akili kutiwa giza, na giza likiingia, ujinga unaigia.
Katika masomo yamkini ulikuwa unafanya vizuri kabisa lakini sasa unaona kama vile kila unachokianya hakifanikiwi; Hiyo ni kwa sababu akili yako imetiwa giza.
Kifungo ambacho wachawi au waganga wanatumia kumfunga mtu, ni kumfunga akili. Na kama vile Yane na Ambre walivyopigana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapigana na ile kweli; ni watu walioharibika akiliza zao, 2Timotheo 3:8.
Dalili za mtu aliyefungwa na akili:
1. Kichwa kuuma mara kwa mara “sana” (hasa wakati unaomba)
2. Macho kutokuona vizuri.
3. Kusinzia mara kwa mara; Muda ambao ungewaza mafanikio ndo muda ambao wewe unasinzia.
4. Kusahau mara kwa mara.
5. Uwezo wa kufaulisha wengine ikiwa wewe hufanikiwi. Kunauwezekano kwamba upo nyumbani umekaa unalia maisha mgumu na huna la kufanya. kumbe yupo anayetumia akili yako.
TO DAY’S LESSON _12/ 10/ 2014
BY PASTOR PAUL JOSHUA.
THE ENCLOSED BRAIN (BRAIN’S DARKNESS)
INTRODUCTION.
Brain is the thing/ grace which a person has been given by God in order to help him/ her in his/ her life. Galatians 3:1
Every person you see, has a thing/grace which God has given him/her so that it can help him/ her to the lest of his life.(every person has bright mind/brain)
Daniel 1:19-20; Daniel was brighter than all witches/wizard and star dealer, where by every dream which was dreamed by king was send to Daniel so that it could be translated.
There are physical and spiritual brain, it is better for the person to tight/ close your leg or your hand than to close your mind/ brain.
Exodus 35:35
Brain (cleaver ) is life
Brain can be closed:- Ephesians 4:18
In case of studies:, may be you was doing good in your studies but now you can find that any thing you do, do not succeed. That is because your brain has been darkened (blinded).
The closure that wizard and witch doctors use to close a person is to close his/her brain(mind) it is like Yane and Ambre as they fought Musa, the same applies to those who are fighting with the truth, the people whom their mind has been distracted , 2 Timothy 3:8
Features of the person whom her/his brain has been closed.
1. Feeling head ache / frequent paining (especially praying time)
2. Low vision ( the disability to see properly )
3. Frequent sleeping; the time which you could use to think about your life is the time which you fall asleep.
4. Frequent forgetting.
5. The ability of making other people to succeed while you’re in the same situation
It is possible that you can be complaining about the difficulty in life and you have nothing to do, it could be possible that someone is using your brain (your capability of thinking / reasoning and recognizing issues)