Jesca alikuwa na tatizo la kuchanganyikiwa akili, lakini cha kushangaza zaidi kichaa huyu
aliwataka ndugu zake wamlete katika kanisa la (Glory) Ufufuo na Uzima
Kigoma;
Baada ya Jesca kufikishwa katika kanisa la Ufufuo na Uzima
Kigoma, kaombewa na sasa ni mzima kabisa.